Licha ya ukaribu wa majina, Hekalu hilo ni tofauti na Kanisa la shetani, lililobuniwa mwaka 1966 kupitia msanii maarufu Anton Levey mjini San Francisco, California. Sadaka ya binadamu? Ni vibaya.
Kwa muda mrefu hata hivyo, imekuwa ni nadra kuona sanamua ambayo moja kwa moja inahusishwa na shetani au ibilisi. Lakini ukifika Marekani, mambo ni tofauti. Kuna sanamu moja kubwa ya shaba ambayo ...