Lakini bila shaka, mambo yanaweza kubadilika ikitegemea na hali ya anga. Ikiwa kutanyesha kama jua linawaka, kisha mwanga unagawanywa kwa umbali tofauti na kila tone la mvua, na matokeo yake ni ...
"Kwa hiyo ni muhimu sana kuendelea kufahamu mengi kuhusu jua ili tuweze kubashiri hali ya anga iliyopo kwenye jua kama tulivyojifunza kubashiri hali ya hewa hapa duniani." Chanzo cha picha ...