"Wewe ni mwembamba sana, unaweza kuvaa suti yoyote ya kuogelea." Liliana Carvajal aliambiwa maneno hayo katika duka moja huko Miami, Marekani. Katika mazingira ambayo kila mtu anataka kuwa ...
Kwa mtindo huu, walisoma jinsi vikundi fulani vya chakula vinaweza kuathiri maisha yetu ili kuunda lishe bora ya kuishi muda mrefu. Mboga zaidi, nafaka na matunda yaliyokaushwa, chini ya nyama ...