News

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Rufaa, Jacobs Mwambegele ametangaza ngwe ya pili ya uboreshaji ...
Kazi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili katika Jimbo la Kahama Mjini, mkoani Shinyanga, inatarajiwa kuanza rasmi Mei Mosi na kukamilika Mei 7, 2025.