Watanzania wanapiga kura leo katika uchaguzi mkuu ambao Rais Samia Suluhu Hassan anachuana na wagombea kutoka vyama vidogo. Wapiga kura watamchagua rais, wabunge, madiwani na wawakilishi.
MKUTANO wa kwanza kwa Bunge la 13 la Tanzania unaanza leo jijini Dodoma ambao pamoja na masuala mengine, Rais Samia Suluhu ...
Huduma za intaneti zimekatizwa kwa siku ya tatu leo nchini Tanzania huku ripoti za maandamano zaidi ya kupinga uchaguzi zikiibuka na upinzani kukataa matokeo ya uchaguzi katika kisiwa cha Zanzibar.
Wanasiasa wa siasa kali za mrengo wa kulia walichukua hatua ya kutoa idhinisho la awali kwa mswada unaoipa Israel mamlaka ya kunyakua Ukingo wa Magharibi. Na Lizzy Masinga & Asha Juma Mama wa taifa wa ...
Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai kuwa vyombo vya usalama nchini humo vinatumia ...
MWANZA: Huduma za meli zinazomilikiwa na Kampuni ya Meli Tanzania (Tashico) zitarejea kesho Novemba 6, 2025 nchi nzima, baada ...
Nchi ya Tanzania ilifanya uchaguzi Oktoba 29. Na utakumbuka chama kikuu cha upinzani CHADEMA kilizuiwa kushiriki. Lakini kabla uchaguzi huu, kuna video mitandaoni kwenye Facebook, X lakini pia ...
NHK inajibu maswali yanayohusiana na maisha ya kila siku nchini Japani. Wizara ya Afya, Kazi na Ustawi wa Jamii ya nchi hiyo ...