Lakini pia muhogo unaweza kutumika kutengeneza chakula kingine. Unga wa muhogo hutumika kutenegeneza ugali, vipopoo, keki, uji, mandazi na mitindo mengine mengi ya upishi. Sandrine Tchoni kutoka ...
Ugali wa udaga ni moja kati ya vyakula vinavyopewa heshima ya namna yake kwenye jamii ya Wasukuma nchini Tanzania. Udaga ni mchanganyiko wa unga wa mahindi na muhogo ambao huwa na ladha ya aina ...