Kwa kawaida mtoto kuanzia umri wa miezi sita huanza kupewa uji maalumu kama kianzio cha kuanza kujifunza kula. Uji huo ni mjumuisho wa nafaka mbalimbali na mara nyingine mpaka mboga mboga.
Maelezo ya video, 'Nilimpeleka mwanangu shule za Binafsi kupitia kuuza uji mitaani' 5 Oktoba 2021 Ni hadithi ya kusisimua ya Bi Basila Swai mkazi wa Jiji la Kibiashara la Dar Es Salaam ambaye ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results