Tayari imeshakubaliwa na kutiwa saini katika kikao cha kati ya Januari 27 hadi 28, mwaka huu na wakuu wa nchi 24 zilizohudhuria Mkutano wa Nishati Safi uliopewa jina ‘Mission 300.’ Ulikuwa na lengo la ...
IRAN : WAZIRI wa mambo ya nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema nchi yake inaweza kuwa tayari kuzungumza na utawala wa Trump licha ya utawala huo kuonyesha msimamo mkali kuelekea Tehran. Akizungumza ...
Nina mwenzangu tayari yuko huko. Mambo yakiwa tayari ataniarifu ... Hivi asubuhi nimemtayarishia uji mwingi, ameunywa wote.” “Naamini kuwa atapata nafuu.” “Uzee pia unachangia kumdhaifisha. Shangazi ...
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa, vigogo hao wa soka la Afrika na wamerudi kwa kasi huku safari hii vita hiyo ikiongozwa na Wydad Casablanca ambao inaelezwa wapo tayari kutoa Sh2.5 bilioni. “Tayari ...
Aston Villa wamejiunga na mbio za kumsaka mshambuliaji wa Wolves na Brazil Matheus Cunha, 25, ambaye pia anavutia Nottingham Forest, Chelsea, Arsenal, Tottenham na Manchester United. (Barua ...
Upatanishi huo ni muhimu sana kama vile uji ulivyo na umuhimu kwa mgonjwa kwani dunia imeshuhudia minyukano isiyo ya kawaida, kutuhumiana mambo mazito na hata matumizi ya lugha isiyo ya kistaarabu kwa ...
Kutokana na hilo, ilibidi awe anakaa naye mpaka saa ya kwenda kunywa uji, ndipo anapoondoka, maana ilikuwa akifika hatua hiyo huwa analala. Samweli Sifueni mkazi wa Arusha , anasema mtoto wake hakuwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results