Ripoti hiyo ya UNODC, 2021 inasema nchi za Afrika Mashariki hususani Kenya na Tanzania, zimekuwa njia kuu za kusafirisha heroini kutoka Afghanistan kupitia Bahari ya Hindi. Inaelezwa kuwa, kuna namna ...
Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo. MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata jahazi namba B.F.D 16548 lenye usajili wa Pakistan katika Bahari ya Hindi likisafirisha ...
Manufaa ya taka sifuri yako katika kila daraja. UNEP kadhalika inayasaidia mataifa yanayopakana na bahari ya Hindi kukumbatia matumizi ya magari ya nisharti ya umeme kupitia mpango wa kimataifa wa ...
Viongozi wa mataifa ya Bahari ya Baltiki na Katibu Mkuu wa NATO Mark Rutte wamethibitisha kuwa wataongeza hatua za kulinda miundombinu muhimu ya chini ya bahari katika eneo hilo. Uamuzi huo ...
Daniel Chapo, 47, anakabiliwa na kibarua kikubwa ya kuliunganisha taifa. Na Asha Juma & Ambia Hirsi Mkataba wa kusitisha mapigano utatekelezwa kwa awamu kadhaa kwa mujibu wa maelezo yaliyokuwa ...
Uzinduzi huo "unaweza kuashiria nia ya kutoa shinikizo kabla ya muhula wa pili wa utawala wa Trump," Yang Moo-jin, amesema mkuu wa Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Korea Kaskazini huko Seoul.
And it all starts with three easy sounds: ya ya ya. Langel has been making TikToks about vocal coaching since 2021. So when she attended the Texas Thespian Conference in November, she thought ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa Kimbunga Dikeledi katika Bahari ya Hindi mwambao wa pwani ya Msumbiji. Katika taarifa yake, iliyotoa leo Jumanne ...
Umoja wa Kujihami wa Nchi za Kaskazini mwa Atlantiki, NATO unaongeza doria katika Bahari ya Baltiki baada ya bomba na nyaya za chini ya bahari kuharibiwa katika miaka ya hivi karibuni. Mnamo ...
Nchini Morocco, mabaki yamegunduliwa katika amana za phosphate, mabaki ya bahari ya zamani, uchambuzi ambao unaendelea kufunua siri nyingi. Katika utafiti uliochapishwa mnamo Desemba 29 ...
ndio iliyoivutia Singida United na kufikia hatua ya kuzungumza naye, kisha kumpa mkataba wa miaka mitatu asubuhi na kumvusha Bahari ya Hindi kuja Bara. Hata hivyo, saa chache baadaye siku hiyo hiyo, ...
Tovuti ya Russia Today imeripoti leo Jumamosi Januari 11, 2025, kuwa kati yake droni 31 zimedunguliwa zikijaribu kukatiza Bahari Nyeusi kwa ajili ya kwenda kutekeleza mashambulizi katika maeneo ...