Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema Noti Mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha ... Gavana Tutuba amefafanua kuwa Noti hizo zitatumika sambamba na Noti zilizopo hivi sasa, ...
NDIYO maisha yalivyo. Kuna wakati ukifika unajutia mambo yaliyopita. Kuna msemo wa ‘Ujana Maji ya Moto’. Haupo tu, ...
STAA wa Bongo Movie, Kajala Masanja ameshindwa kuvumilia na kutupa jiwe kizani kwa kusema ni ushamba kwa wasanii wa muziki ...
Pengine si hivi karibuni. Bila kujali, ni zana yenye nguvu sana ya kutoa mawazo, kuunda nyimbo zinazounga mkono, au kujaribu tu mitindo tofauti ya muziki. Unaweza kuijumuisha kwa urahisi katika ...
Hata hivyo, mkali huyo wa nyimbo kama 'Natamba', Naenjoy', 'Pusha', 'Mhudumu ... "Mimi hizi habari za Aslay nimezisikia tu kama ulivyozisikia wewe, sababu sasa hivi sipo na Aslay ila huwa nawasiliana ...
Shirika hilo linasema takriban wakimbizi 18,000 waliokimbia vita Sudan hivi sasa wanaishi katika kambi ya wakimbizi ya Korsi katika eneo la Birao, jimbo la Vakaga Katikati Mashariki mwa Jamhuri ya ...
Kufikia sasa, watu 29 wamethibitishwa kufariki ... Lakini urejeshaji wa hali ya kawaida na ujenzi mpya utachukua muda kwani kiasi kikubwa cha mabaki kinasalia, na miundombinu iliharibiwa katika ...
Tanzanian singer Nyoshi el Saadat claims he owns enough clothes to last until 2057, rarely repeating outfits The singer has one child within wedlock and 14 daughters outside, whom he supports when ...
Hilo lilimsukuma Suhaila kutaka kusambaza mafanikio aliyopata katika nchi aliyotoka “Niliposikia Taliban wamepiga marufuku elimu kwa wanawake nilivunjika moyo sababu mamilioni ya wasichana sasa hawana ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri ... kuwa noti hizo zitatumika sambamba na zilizopo sasa na zina mwonekano wa noti zinazotumika hivi ...