Tayari imeshakubaliwa na kutiwa saini katika kikao cha kati ya Januari 27 hadi 28, mwaka huu na wakuu wa nchi 24 zilizohudhuria Mkutano wa Nishati Safi uliopewa jina ‘Mission 300.’ Ulikuwa na lengo la ...
IRAN : WAZIRI wa mambo ya nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema nchi yake inaweza kuwa tayari kuzungumza na utawala wa Trump licha ya utawala huo kuonyesha msimamo mkali kuelekea Tehran. Akizungumza ...
Nina mwenzangu tayari yuko huko. Mambo yakiwa tayari ataniarifu ... Hivi asubuhi nimemtayarishia uji mwingi, ameunywa wote.” “Naamini kuwa atapata nafuu.” “Uzee pia unachangia kumdhaifisha. Shangazi ...
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa, vigogo hao wa soka la Afrika na wamerudi kwa kasi huku safari hii vita hiyo ikiongozwa na Wydad Casablanca ambao inaelezwa wapo tayari kutoa Sh2.5 bilioni. “Tayari ...
Aston Villa wamejiunga na mbio za kumsaka mshambuliaji wa Wolves na Brazil Matheus Cunha, 25, ambaye pia anavutia Nottingham Forest, Chelsea, Arsenal, Tottenham na Manchester United. (Barua ...
""Bado hatujawatambua waliopoteza maisha, lakini baadhi ya majeruhi tayari wameongea na kutuambia majina yao. Kadri hali inavyoendelea, tutapata taarifa rasmi," ameongeza. Mkuu huyo wa wilaya amesema ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Deogratius Mahinyila amesema japo chama hicho kimepita salama kwenye uchaguzi wa ndani, lakini haikuwa sawa kuwashindanisha ...