HAYA ni mazito! Licha ya hivi karibuni Khadija Kopa, mama mzazi wa nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Zuchu na kuliambia ...
NINAPOONGELEA ngoma zangu bora za wakati wote lazima niitaje 'Kila Wakati' ya Godzilla featuring G Nako. Ile ngoma ilikuwa ya ...
UN inakadiria kwamba urejeshaji wa maisha ya kawaida na ujenzi mpya wa Gaza unaohitajika katika kipindi cha muda mfupi, wa kati na muda mrefu utahitaji jumla ya dola bilioni 53.1.
Kikao hicho kilisimamiwa na rais mpya wa baraza hilo rais wa Equatorial Guinea Theodore Obiang Nguema ambayo amesisitiza haja ya usitishwaji mapigano hali ambayo imeathiri ukanda mzima wa ...
Mpango huo unatoa wito kwa maafisa kufikiria kuweka ushuru mpya wa forodha kwa washirika wa kibiashara ambao wamelenga bidhaa za Marekani zinazouzwa nje ya nchi hiyo kwa ushuru mkubwa. Trump ...
Maelezo ya picha, Gabbard ana miaka 43; alikuwa na umri wa miaka 31 tu alipochaguliwa kuwa Congress. 17 Februari 2025 Bunge la seneti nchini Marekani lilimuidhinisha aliyekuwa mbunge Tulsi Gabbard ...
Makala hii imeangazia mkutano wa viongozi wa Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia ambapo wamemchagua kiongozi wa tume ya Umoja wa Afrika AU kati ya wagombea watatu, lakini pia mapigano yanayoendelea ...
Kuanguka kwa mji huu kunatokea ikiwa ni upanuzi mkubwa wa eneo la M23 tangu kuanza kwa uasi wao mpya mwishoni mwa mwaka 2021, na ni pigo kubwa kwa serikali ya Rais Félix Tshisekedi. Msemaji wa ...
BENKI ya Azania imetangaza uzinduzi wa mfumo wake mpya wa kidijitali wa kibenki, AZANIA DIGITAL, ambao ni jukwaa la kisasa linalolenga kutoa suluhisho la kibenki linalofaa kwa wateja kote nchini.
Randriamandrato kutoka Madagascar, waziri mambo ya nje wa zamani alijiondoa katika raundi ya tatu. Youssouf, sasa anakwenda kumrithi Moussa Faki Mahamat, kama mwenyekiti mpya wa Tume hiyo ya Umoja wa ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Mahmoud Youssouf, anakabiliwa na changamoto lukuki zinazolikabili Bara la Afrika kwa sasa, ikiwemo mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya ...
Ni ukweli ulio dhahiri kuwa Tanzania tuko katika mkwamo wa safari ya kuandika Katiba mpya na ukichunguza sana utabaini maslahi ya kisiasa ndio kizingiti cha mchakato huu, ndio maana nauliza, mnaonaje ...